Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Vipi kuhusu hizi takwimu na hii ni Dar tuWasemaji wa ndoa za watu tumekuwa wengi sana. Halafu in reality kuna watu wengi mno wana ndoa zenye amani ila kwa sabbu mfumo una nia yake pasono basi hizi flaws zapigiwa kelele sana. Ma-MC wako booked mwaka mzima sa sijui ndo pipo zinasaliti chama au nini. Alichokiumba Mungu kamwe hakiwez pinduliwa. Too machi noizi....