Nind game hiyoAkiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
Sasa kama huna Akili na hujawahi kuwa nazo na kamwe hutokuja kuwa nazo hadi Ukifa utajuaje kuwa hiyo ( alichokifanya ) Mwina Seif Kaduguda ni Mind Game? Mijitu mingine bhana!!!!!!Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
basi hiyo mind game ni upopoma maana kusema simba inafungwa hata kabla mechi haijaanza ni kushusha morali ya wachezaji au kuandaa mashabiki kisaikolojiaSasa kama huna Akili na hujawahi kuwa nazo na kamwe hutokuja kuwa nazo hadi Ukifa utajuaje kuwa hiyo ( alichokifanya ) Mwina Seif Kaduguda ni Mind Game? Mijitu mingine bhana!!!!!!
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
Alidai hadi hela alizowanunulia chai na chapati,Ukiona kasema hivyo ujue iyo mechi akupewa yeye amepewa mwenzake. Kadu akikasirika anakosa ustahimilivu,
Tangu alipo beba vifaa vya mazoezi ikiwa pamoja na Nyavu, Koni n.k kwakua alitimuliwa pale Msimbazi akidai alitoa fedha zake wachezaji wapate chai na chapati wakati klabu ikiwa na ukata ndipo nilipo muona Kadu Hana maana.
Haukusikiliza mahojiano hadi mwisho hayo maneno hakuongea unamlisha maneno mzee wa watu ila ukisikiliza kwa vipande vipande utadgani kweli kaongea ila ukicheki full video hajaongeaAkiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?