Kaduguda asema Simba kufungwa nusu fainali ya FA

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.

Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
 
Nind game hiyo
 
Sasa kama huna Akili na hujawahi kuwa nazo na kamwe hutokuja kuwa nazo hadi Ukifa utajuaje kuwa hiyo ( alichokifanya ) Mwina Seif Kaduguda ni Mind Game? Mijitu mingine bhana!!!!!!
 
Ukiona kasema hivyo ujue iyo mechi akupewa yeye amepewa mwenzake. Kadu akikasirika anakosa ustahimilivu,
Tangu alipo beba vifaa vya mazoezi ikiwa pamoja na Nyavu, Koni n.k kwakua alitimuliwa pale Msimbazi akidai alitoa fedha zake wachezaji wapate chai na chapati wakati klabu ikiwa na ukata ndipo nilipo muona Kadu Hana maana.
 
basi hiyo mind game ni upopoma maana kusema simba inafungwa hata kabla mechi haijaanza ni kushusha morali ya wachezaji au kuandaa mashabiki kisaikolojia
 
Danganya toto hyo 2mewastukia wanataka kutupa yanga kichwa ili tuzubae

Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.

Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
 
Ukiona kasema hivyo ujue iyo mechi akupewa yeye amepewa mwenzake. Kadu akikasirika anakosa ustahimilivu,
Tangu alipo beba vifaa vya mazoezi ikiwa pamoja na Nyavu, Koni n.k kwakua alitimuliwa pale Msimbazi akidai alitoa fedha zake wachezaji wapate chai na chapati wakati klabu ikiwa na ukata ndipo nilipo muona Kadu Hana maana.
Alidai hadi hela alizowanunulia chai na chapati,
wakati huo Simba choka mbayaa,
 
Staili kama hii ya Kaduguda iliwahi kufanywa sana na Haji Manara alipokuwa mtumishi wa Simba kimchongo.
Alikuwa anasema Simba itaifunga Yanga maana wale wachezaji wa Yanga ni wa kuokoteza mtaani. Sasa wachezaji wa Yanga wakawa wanacheza kwa hamasa hadi wanashinda mechi. Ndio Maana Kaduguda ameitumia hii Mind game kinyume chake ili kuongeza Morali kwa wachezaji wa Simba.
 
Anakatwa huyu mtoto ujuaji mwingi
huyu ni jamaa flani umri 38+ na kazeeka kwa stress baada ya life kumpiga chenga. Kila thread analeta stress za maisha utadhani sisi tunahusika na matatizo yake
 
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.

Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
Haukusikiliza mahojiano hadi mwisho hayo maneno hakuongea unamlisha maneno mzee wa watu ila ukisikiliza kwa vipande vipande utadgani kweli kaongea ila ukicheki full video hajaongea

Sent from my SM-G9650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom