Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Akiwa anaongea kwenye kipindi cha wapo FM Mwina Kaduguda amesema yeye ni kiongozi wa mda mrefu anaijua vizuri derby na kesho Yanga atamfunga Simba ,sijaelewa kwanini kiongozi huyu wa Zamani wa Simba amesema hivo na amesema tumwamini kabisa tar 28 Simba anafungwa.
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?
Mna maoni gani? Kuna hujuma au?