Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Je, hii kauli ya Huyu muheshimiwa. Wana Msimbazi wenzangu mnaichukuliaje

Binafsi naichukulia Kama kejeli coz anatufanya sisi Wana Simba kama watoto wadogo.

Ni sawa na mtoto anovyomwambia baba ndege ileeee juu, then baba anasema "Ntakununuliaaa mwanangu"

Wanamsimbazi kwa hili nyie mnaonaje? Ntapitia comment ziwe fupi fupi.

FB_IMG_16437328968976422.jpg
 
"Huu Ubingwa Simba Tunachukua Kama Kawaida , Yanga Baiskeli Ya Miti Ile Atadondosha Point Kama Msimu Ulopita Tu We Kwani Hukumbuki Ilivokuwa Msimu Ulopita Si Ndo Ilikuwa Hivi Hivi..![emoji4]" Simba Nguvu Moya...Daima Mbele Nyuma Muwa [emoji1787]
Sema mwiko nyuma.
IMG-20210912-WA0075.jpg
 
Kwenye mpira inawezekana kabisa ,point 10 sio nyingi kiivo ukizingatia Bado michezo 17 kwa kila timu .

Swali hapa je Simba hii inao uwezo wa kushinda michezo yote 17 bila kupoteza ?

Swali lingine je yanga ili awe bingwa atashinda michezo yote 17 bila kupoteza?

Mpaka Sasa mwenye faida Ni yanga maana yupo mbele points10 lakin haimanishi basi yeye tayari Ni bingwa,..

Mpira una maajabu mengi tuwe wapole muda utaamua Nan atakua bingwa.
 
Hivi hesabu huwa mnapigaje? Nikusaidie kidogo tu,
YANGA anahtaji kushinda Mechi 14 Kati ya 17 kuwa bingwa.
 
Nyie furahisheni genge tu na kujifariji point 10 unaziona ni chache kwa upande wako lakini wanaovuja jasho uwanjani na upinzani wanaokutana nao ndo uwaulize ugumu wanaokutana nao watakwambia, we unafikiri ni suala la kwenda tu uwanjani na kuchota point na kuondoka, kama ni rahisi simba walishindwa nini kuzipata
 
Mechi na dar city imewaumbua Boko na Mugalu kuonekana ni washambuliaji butu
 
Kwenye mpira inawezekana kabisa ,point 10 sio nyingi kiivo ukizingatia Bado michezo 17 kwa kila timu .

Swali hapa je Simba hii inao uwezo wa kushinda michezo yote 17 bila kupoteza ?

Swali lingine je yanga ili awe bingwa atashinda michezo yote 17 bila kupoteza?

Mpaka Sasa mwenye faida Ni yanga maana yupo mbele points10 lakin haimanishi basi yeye tayari Ni bingwa,..

Mpira una maajabu mengi tuwe wapole muda utaamua Nan atakua bingwa.
Mkuu yanga akishinda mechi 14 inatosha sio lazima 17...simba ndio anatakiwa kushinda zote akiomba mwenzake mabaya...
 
Back
Top Bottom