Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

Kaduguda anajikuta [emoji39]simba flani hivi...[emoji18]
IMG_20220127_093047.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Huu Ubingwa Simba Tunachukua Kama Kawaida , Yanga Baiskeli Ya Miti Ile Atadondosha Point Kama Msimu Ulopita Tu We Kwani Hukumbuki Ilivokuwa Msimu Ulopita Si Ndo Ilikuwa Hivi Hivi..![emoji4]" Simba Nguvu Moya...Daima Mbele Nyuma Muwa [emoji1787]
Kweli mkuu......ila inabid tusiishi kwa historia
 
Kwenye mpira inawezekana kabisa ,point 10 sio nyingi kiivo ukizingatia Bado michezo 17 kwa kila timu .

Swali hapa je Simba hii inao uwezo wa kushinda michezo yote 17 bila kupoteza ?

Swali lingine je yanga ili awe bingwa atashinda michezo yote 17 bila kupoteza?

Mpaka Sasa mwenye faida Ni yanga maana yupo mbele points10 lakin haimanishi basi yeye tayari Ni bingwa,..

Mpira una maajabu mengi tuwe wapole muda utaamua Nan atakua bingwa.
Lakin mm naona mwenye mlima mkubwa n Simba.......coz kwa wanavyojikongoja......ni wazi yajayo yatakuwa haevy sana
 
Kwaiyo una uhakika yanga atapoteza mechi 4 na wewe ushinde zote zilizobaki? Ni mpuuzi tu anaweza kuukubali huo ujinga
Yaaah mkuu ....kwa kile kikosi .....nadhan bado Simba .....watapata taaabu sanaa
 
Nyie furahisheni genge tu na kujifariji point 10 unaziona ni chache kwa upande wako lakini wanaovuja jasho uwanjani na upinzani wanaokutana nao ndo uwaulize ugumu wanaokutana nao watakwambia, we unafikiri ni suala la kwenda tu uwanjani na kuchota point na kuondoka, kama ni rahisi simba walishindwa nini kuzipata
Mkuu Koo ina maana unaukosoa ...mfumo wa 6_ 4_
wa kocha from madrid
 
Kwa ligi ya bongo, inawezekana...kwani si ni gap la mechi nne tu!
 
Back
Top Bottom