Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

Kwenye mpira inawezekana kabisa ,point 10 sio nyingi kiivo ukizingatia Bado michezo 17 kwa kila timu .

Swali hapa je Simba hii inao uwezo wa kushinda michezo yote 17 bila kupoteza ?

Swali lingine je yanga ili awe bingwa atashinda michezo yote 17 bila kupoteza?

Mpaka Sasa mwenye faida Ni yanga maana yupo mbele points10 lakin haimanishi basi yeye tayari Ni bingwa,..

Mpira una maajabu mengi tuwe wapole muda utaamua Nan atakua bingwa.
Uchambuzi mzuri
 
Je, hii kauli ya Huyu muheshimiwa. Wana Msimbazi wenzangu mnaichukuliaje

Binafsi naichukulia Kama kejeli coz anatufanya sisi Wana Simba kama watoto wadogo.

Ni sawa na mtoto anovyomwambia baba ndege ileeee juu, then baba anasema "Ntakununuliaaa mwanangu"

Wanamsimbazi kwa hili nyie mnaonaje? Ntapitia comment ziwe fupi fupi.

View attachment 2104193
Mdomo halipii kodi
 
Back
Top Bottom