Kaduguda: Simba itachukua ubingwa msimu huu

"Huu Ubingwa Simba Tunachukua Kama Kawaida , Yanga Baiskeli Ya Miti Ile Atadondosha Point Kama Msimu Ulopita Tu We Kwani Hukumbuki Ilivokuwa Msimu Ulopita Si Ndo Ilikuwa Hivi Hivi..![emoji4]" Simba Nguvu Moya...Daima Mbele Nyuma Muwa [emoji1787]
Kweli mkuu......ila inabid tusiishi kwa historia
 
Lakin mm naona mwenye mlima mkubwa n Simba.......coz kwa wanavyojikongoja......ni wazi yajayo yatakuwa haevy sana
 
Kwaiyo una uhakika yanga atapoteza mechi 4 na wewe ushinde zote zilizobaki? Ni mpuuzi tu anaweza kuukubali huo ujinga
Yaaah mkuu ....kwa kile kikosi .....nadhan bado Simba .....watapata taaabu sanaa
 
Mkuu Koo ina maana unaukosoa ...mfumo wa 6_ 4_
wa kocha from madrid
 
Kwa ligi ya bongo, inawezekana...kwani si ni gap la mechi nne tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…