Kaduguda: Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Kaduguda: Wanachama wa Simba ni mbumbumbu

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
#KIPENGAXTRA: “Mimi sitagombea, mimi siyo maskini, sina njaa, hata mkizomea nasemaje mimi sina njaa, na wanachama wengi mliopo hapa ni mambumbumbu.” hii ni kauli ya aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Ismail Aden Rage.

Kauli ambayo imetamkwa tena na aliyewahi kuwa Kaimu Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Mwina Mohamed Seif Kaduguda akizungumza kuhusiana na kile ambacho kinaendelea ndani ya timu hiyo.

Unaweza kuitazama muda huu kupitia YouTube channel yetu ya EastAfricaRadio
#KipengaXtra #Michezo #Simba #HainaKuchoka
Screenshot_20240616-062236.jpg
 
Je ni kweli wanasimba ni mbumbumbu....coz alianza Rage kusema Simba ni Mbu Mbu mbu....now kaduguda himself kasema [emoji23][emoji23][emoji23]

Japo naanza kuamini Kwa hivi vitendo vya makolo kuwafungia makolo wenzako[emoji23][emoji23]

Maybe Kuna umbumbumbu sugu pale ukoloni
 
Back
Top Bottom