mmh alikua wema wa kipindi hicho....
Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego
Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga
nilimpenda sana huyu dada , anyways basi :embarrassed: (kwa sauti ya kufifia)
Teh teh...kuna huyo,Nora na coletha..Hawa dada walikuwa wanajua kujiseksisha aisee..Wakipewa scenes za mapnz walikuwa hawakosei
Coletha mtamu sana
Hahha very sure... macho yake hakuangalii mara mbili ushaanza kujikanyaga
Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana
Coletha mtamu sana