Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Nina kauzu. Long time no see that chick.

-Kaveli-
 
Alikuwa pisi kali ya kwenda , Ameolewa na aliye muoa aka mwambia aachane na mambo ya kuonekana kwenye luninga Jamaa aliye muoa ana pesa
 
Coletha,,,,now your talking bro. Mtoto alikuwa sexy yani dah! Frank ndio alikuwa anamuinjoy sana maana scene walikuwa wakicheza wote, dah sio siri ingekuwa mi ndo Frank ningepiga kabisa yule mtoto mzuri.
Hahahah!

Kumbe uhuni umeanza zamani wewe!?

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom