Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushamla?Coletha mtamu sana
We mkongweSure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego
Dah! Eti jambaziAmekuwa kama jambazi. Unene gani huo
Nora ndio wa mganga sio ninaYah ndo amekuwa hivi...Nina ! Haaa...ama kweli hujafa hujaumbika....Nina wa Gwizikulu Jilala na Dental Formula Power
Hahahah!Coletha,,,,now your talking bro. Mtoto alikuwa sexy yani dah! Frank ndio alikuwa anamuinjoy sana maana scene walikuwa wakicheza wote, dah sio siri ingekuwa mi ndo Frank ningepiga kabisa yule mtoto mzuri.
Alikuwa na chuchu KONZINilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?!
=========
View attachment 293001
Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
😀😀😀😀😀😀😀 Sio ya kuacha ileHahahah!
Kumbe uhuni umeanza zamani wewe!?
🤣🤣🤣🤣🤣