Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Tomahawk

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Posts
234
Reaction score
219
Nilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?!

=========

nina.JPG
Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
 
Niliwahi kukutana nae maeneo ya buguruni rozana kuna chimbo flani miaka kama 5 iliyopita. Nimemiss sana
 
Jamani Nina.! dah! mtoto aliumbwa akaumbika ana macho hayo mh! wacha kama mi nimemkosa nitafanya namna hata chalii yangu mmoja aoe mtoto wake kama ana wa kike..!!
 
Back
Top Bottom