Buguruni Rozana?
chimbo la nini? na wewe ulikuwa hilo chimbo?
Nilikuwepo eneo la tukio, Nilienda kupata kinywaji. Ni kati ya buguruni rozana na malapa, sidhani kama kwasasa nikitaka kwenda naweza kupakumbuka ila palikuwa sehemu muafaka wa kupata moja moto nå moja baridi, tatizo ni ndani ndani sana
Kuna chimbo huku kwetu ntakualika siku moja
Maeneo ya wapi mkuu?
bagamoyo road....yote kuanzia mwenge hadi bunju
Sure..Alikuwa kisu..Ana Macho flani hivi ya kimitego
Nimeamini binadam tunatofautiana huyu nae ni mkali?
Nilipenda uigizaji wake enzi izo, alikuwa akitumia jina la Nina alipenda sana ku act na Dr. Cheni mara kwa mara, yuko wapi siku hizi?!
=========
View attachment 293001
Msanii Nguli wa Sanaa nchini, 'Nina'
Nimeamini binadam tunatofautiana huyu nae ni mkali?
Nimeamini binadam tunatofautiana huyu nae ni mkali?
yuko wapi nina wa tamthilia zile za zamani za itv kwenye vikundi vya kaole pamoja na mashaka