Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Buguruni Rozana?
chimbo la nini? na wewe ulikuwa hilo chimbo?

Nilikuwepo eneo la tukio, Nilienda kupata kinywaji. Ni kati ya buguruni rozana na malapa, sidhani kama kwasasa nikitaka kwenda naweza kupakumbuka ila palikuwa sehemu muafaka wa kupata moja moto nå moja baridi, tatizo ni ndani ndani sana
 
Kuna chimbo huku kwetu ntakualika siku moja
 
Kumbe macho yanatugusa wengi..
 
Alikuwa na swagz flan na jicho amaizing
 
yuko wapi nina wa tamthilia zile za zamani za itv kwenye vikundi vya kaole pamoja na mashaka
 
Back
Top Bottom