Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

Kaenda wapi msanii Nina wa Kaole?

watoto wa miaka ya 90+ hawawezi kumjua huyu dada
Si kwamba ni wa kitambo kihivyo, miaka hii hii ya 2000 kwenda juu ndio alianza kufahamika kwenye maigizo, hata aliyezaliwa 2000 anamfahamu labda kama hawakuwa na TV
 
Yupo maeneo ya magomeni KIMAMBA kanunuliwa JUMBA NA KIBOPA Fulani Wa TANESCO....anafanya nae maisha kama Mke MDOGO

Yuko vzur , nilimuonaga 2012 kwa msiba wa kanumba , Enz hizo alikua anapush prado kavimba kwenye gar utadhan mbunge, nahis Sasa hiv atakua anapush range kabisa, Yule Hana shida ya pesa now ndio maana humuon bongo movie tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lile jicho la nina japo nilikua niko sekondari kijana mdogo ila alikua ananitoa udenda.
 
Coletha nae alikua shidah...jicho moja matata ..sijui yuko wapi saiz [emoji3]
Coletha ndio my shiyt. Yani kama kuna kipindi nilitamani kuwa mkubwa ni kipindi Coletha yupo kwenye peak! Ningemdaka nimpasulie mayai kadhaa ukeni ingekuwa faraja sana.
 
Coletha ndio my shiyt. Yani kama kuna kipindi nilitamani kuwa mkubwa ni kipindi Coletha yupo kwenye peak! Ningemdaka nimpasulie mayai kadhaa ukeni ingekuwa faraja sana.
Sure jamaa..manzi alikua anatia mizuka sana,,sema nmemuona saiz dzain kapoteza ivi

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Sure jamaa..manzi alikua anatia mizuka sana,,sema nmemuona saiz dzain kapoteza ivi
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Atakuwa bongo humu humu sema uwezekano kuwa kakongoloka ni mkubwa sana.
 
mbona yupo powa tuu, anatafsiri tamthilia za kichina kwa kiswahili katika channel ya star swahili ana mkataba nao, na bado anavutia pia
Hayupo kam zaman..namuona insta

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Back
Top Bottom