Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

Kaeni Mbali na G na Iceman 3D

Kila mtu yuko bize na wake hatupendi kujitangaza tu na kupigia watu makelele misumari ipo mingi humu kuliko mapango ke gani wa kudandia makombo yako

Cheupe leo nimekunywa lubisi nisamehe bure
 
Msongo wa mawazo unapozidi humfanya mwanadamu kuishi na kuwaza kama njiwa pori aliekoswa na manati..rubbish
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijui ulizaliwa usiku mvua ya RADI ikinyesha!!
Nimecheka sana aisee
 
Back
Top Bottom