Mimi mtoto yoyote 18 kurudi chini akiwa anasoma au hasomi sitaki kabisa mazoea.
Tena kuna wale wadogo kabisa sijui miaka 4 , 5 ndio hata mlangoni kwangu sitaki wakatize.
Dunia imeharibika watoto wadogo wakiume wamekuwa wakilawitiwa mzazi anashituka muda umeenda wanaanza kutafuta wakumuangushia msala.
Juzi hapa mjuu wa mwenye nyumba amenusurika kubakwa na bodaboda wao ambae wanamtumia hata kukapeleka hako katoto shuleni. Katoto kenyewe ukikaona kana miaka 3
Sent from my SM-A025U using
JamiiForums mobile app