Kafanya usaliti anahitaji msaada wenu

Ikibaki miezi Sita bwana wake atoke jela , apotee. Mchongo uwe jamaa akitoka akute taarifa kwamba alipata koneksheni ya kwenda ugaibuni ghafra, na ajifiche Hata miaka miwili kukuza mtoto, Baada ya hapo amteme mume Kwa taraka Kwa kisingizio hawezi kuishi na Jangiri ndani ya nyumba.
 
Kimsingi ndiyo wewe mwenyewe,kaa na hiyo mimba na uwe tayari kupokea lolote kutoka kwa jamaa aliyeko magereza,mwambie mwanaume wako wa sasa akuhamishe mkoa na ndugu ongea nao kwamba siku huyo mtu akitoka asitokee mtu akamwambia mahala ulipo,akikaa miaka kadhaa baadae hakuoni atakata tamaa na yeye na ataendelea na mishe zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…