Kafanyaje huyu?

Kafanyaje huyu?

karv

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2019
Posts
1,802
Reaction score
3,253
Tanzania nchi ambayo kufa kwa mawazo ni kujitakia mwenyewe.

Siku za karibuni kumeibuka katuni zikiwaonesha watu watatu huku mmoja kati yao akiwa Kalala kwenye machela kukiwa na swali "KAFANYAJE HUYU?"

Hayo majibu ya hilo swali hebu tiririkeni hapo.
IMG_20220312_205542.jpg
 
Aliambiwa mi ni single mother akaenda kulala kabisaa.....
 
Tanzania nchi ambayo kufa kwa mawazo ni kujitakia mwenyewe.

Siku za karibuni kumeibuka katuni zikiwaonesha watu watatu huku mmoja kati yao akiwa Kalala kwenye machela kukiwa na swali "KAFANYAJE HUYU?"

Hayo majibu ya hilo swali hebu tiririkeni hapo.View attachment 2149390
Kabakwa na wahuni alikuwa anatembea mtaani uchi kama umuanavyo pichani.
 
Back
Top Bottom