Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

 
Nyerere amelaaniwa.
 
Alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115, kisha akakata roho.
Duh!
Noma sana.

Hii stori inaweza kutumika ku-derive mbinu ya kuweza kuiondoa ccm madarakani uchaguzi wa Oktoba 2025.
 
Hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115, na hii ndivyo ilivyokuwa, mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais
Na baada ya Nyerere kufa , kila kitu alichokianzisha kikafa. Viwanda vilivyokuwepo enzi za utawala wake vilikufa .

Nyerere alikufa na namba 115 yake . Sasa hivi taifa halieleweki taratibu hazifuatwi , taifa lipolipo tu , ccm wameshaugua ugonjwa wa dementia ( akili za ccm zimeshadumaa) .
 
Nyerere amelaaniwa.
Mtazamo wako ni very negative, yaani wewe ni pessimist pro max! Moto ni alama ya power, na pia mwanzo mpya
Tuna kasumba ya kuona vitu vya wenzetu vya maana kama mwenge wa Olympic alafu mwenge wa uhuru hauna maana. Baadhi ya vitu vya kujivunia ambavyo ni vya kwetu hata wageni waje kuona ni Mwenge wa Uhuru. Uongezewe umuhimu . Badala ya kuuzungusha Tanzania nzima kila mwaka , uwekwe kanda moja kila mwaka alafu miuondo mbinu ya huo mkoa kama afya , maji shule viwekewe kipaumbele.
Julius Kambarage Nyerere ni Baba wa Taifa , mambo alioyafanya yatabaki kama historia isiofutika
 
Baba wa taifa ambaye hakuwa baba Bora. Unamfahamu Nyerere kwa kumsoma kwenye vitabu vya kumsifu na kumtukiza, hujui upande wake wa pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…