Mwadunda
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 2,049
- 1,755
Hiyo ni nyara mhimu ya serikali kulindwa na silaha ya moto ndogo kama bastola sio kitu cha kushangaza, labda tushauri kuwe na kikosi kamili (platoon) chenye silaha kubwa kidogo kama SMG 47, mwenge faida ni nyingi hasa kusimamia miradi midogo ya serikali hivyo kuongeza uwajibikaji wa taasisi za serikali. Ukiona jambo halieweki weka maana kama hizi na maisha yaendelee tu.Je tafsiri ya kuulinda huu moto kwa kutumia askari wakakamu wenye silaha za moto ni nini? View attachment 1106605