MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,721
- 21,959
ok.Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza.
Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande.
Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda
Kwanza hata watu wenyewe unaowasemea hawana hata impact wala nguvu ndani ya ccm wala serikali...
Yaan ccm igawanyike kisa kafiti na nzilanyingi? Duuu pole sana.
Pole sana, tena sana
NakaziaWacha wafu wazikane sisi hayatuhusu
KimeumanaHiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza.
Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande.
Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda
Wewe mtoa post ni mjinga na usiyejua lolote. Na ni wajinga wenzako watakuamini. Kwa taarifa yako, Sio Mh. Nzilanyingi wala Mh. Kafiti anayeweza kufanya hivyo. Na wala kwa post hii usifikri unaweza kuwagombanisha! Nyambafu!!Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza.
Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande.
Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda
Chama Kina MagalasaNi akina nani huko CCM?
Ungekuwa unaongea kwa uchungu hivi kwenye vikao vya familia..ungekuwa mbaliWewe mtoa post ni mjinga na usiyejua lolote. Na ni wajinga wenzako watakuamini. Kwa taarifa yako, Sio Mh. Nzilanyingi wala Mh. Kafiti anayeweza kufanya hivyo. Na wala kwa post hii usifikri unaweza kuwagombanisha! Nyambafu!!
Of course nipo mbali. Nikikwambia nina mtoto kamaliza Ardhi University miaka minne bila mkopo utaamini?Ungekuwa unaongea kwa uchungu hivi kwenye vikao vya familia..ungekuwa mbali
Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza.