Kafulila acha kusifu na kuabudu zama zimebadilika, mvua zinanyesha kubali umepumzishwa, shika jembe ukalime

Takataka hizi,
 
Jaji werema alimwita nani vile?
 
Mkuu mbona wanaoua ni wanaccm hasa kwenye uchaguzi ndio wenye sifa hizo ulizotaja?
 
Kafulila tafsiri yake kibantu ni kafulia
 
Acha upuuzi!
 
Huyu apate ushauri "NASAHA" ameathirika kisaikolojia....
 
Watu wengine hamna akili, kwani watu wote ambao hawajateuliwa kuongoza wanategemea wake zao? Kama wewe unategemea mkeo kwa sababu hujateuliwa ukuu wa mkoa basi una matatizo makubwa kichwani.
Wewe ndiye huna akili,umenisikia nalilia kuteuliwa? Maisha yangu sijawahi kufanya kazi ya kuajiriwa au kuteuliwa hivyo huu umbwiga wako mwambie tumbili, kima wewe.
 
Sahihi Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…