Kafulila amtambulisha mchumba wa Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.

Ngwanakilala

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
774
Reaction score
1,464

HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo.

Kafulila alitumbua jipu hilo wakati akitoa utambulisho wa wageni waliofika kwenye tafrija ya harusi yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Annex mji Mdogo wa Uvinza wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma.

Katika utambulisho huo Kafulila alimtambulisha Anna kuwa ni mchumba wa Zitto na muda si mrefu mambo yatakuwa hadharani.

Kafulila alisema kuwa licha ya kuwa mchumba wa ZITTO pia ni mtumishi wa Ubalozi wa Ireland hapa nchini.

Harusi hiyo pia ilihudhuriwa na Mbunge David Silinde na Deo Filikunjombe na mkewe (wapambe wa maharusi) na Dk. Kitila Mkumbo.

Utambulisho huo wa mchumba wa Zitto unavunja ukimya wa Mbunge huyo kuwa na mahusiano na Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma, Muhonga Ruhwanya na Mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi (Diva The Boss).

Source: Wavuti
 
Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...
 
Yule bIdada wa Arizona kIdogo anitoe roho kwa kumsema Zitto vibaya, sasa kitamshuka.
 
Mbona kama zitto kabira..kabinua mdomo kama vile si kweli
 
Zitto aliwahi kutamka hivi karibuni kwamba ana mchumba na wana mtoto mmoja, labda alikuwa akimzunguzia huyu binti.

Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...
 
Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.

Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?

wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?
 
Last edited by a moderator:

Hata kwetu wapo......
 
Last edited by a moderator:
Dah........ kaokota kifaa si haba!
Mheshimiwa Zitto jipange na majukumu m.a.zito ya kulea familia...... Kuna changamoto nyingi sana huku.
 
This thing haters though! Mambo ya imani ni binafsi mtafute umpe mawaidha. Kwani hapo yupo msikitini au kwenye harusi ya kiislam?
 
Zitto aliwahi kutamka hivi karibuni kwamba ana mchumba na wana mtoto mmoja, labda alikuwa akimzunguzia huyu binti.

In fact huyo dada ni half cast wa kizungu mama yake ni mzungu kabisa wanasali pale saint peters Oysterbay...si dhani kama yule ni mtoto wa zito....labda wa kufikia
 
Reactions: BAK
Kawaida ya Zito hupima kima cha maji kwa kutumia wenziwe, sasa tusubiri akanushe.
 
Dah........ kaokota kifaa si haba!
Mheshimiwa Zitto jipange na majukumu m.a.zito ya kulea familia...... Kuna changamoto nyingi sana huku.

Zitto aliwabi kusema anatarajia kumuoa mtoto wa marehemu Abubakar Mgumia ambaye anafundisha UDSM na akasema alishazaa naye mtoto anayeitwa Seth Chachage.
Nadhani kabadili mawazo ana cbumq kipya.
 
Dah........ kaokota kifaa si haba!
Mheshimiwa Zitto jipange na majukumu m.a.zito ya kulea familia...... Kuna changamoto nyingi sana huku.

Zitto aliwabi kusema anatarajia kumuoa mtoto wa marehemu Abubakar Mgumia ambaye anafundisha UDSM na akasema alishazaa naye mtoto anayeitwa Seth Chachage.
Nadhani kabadili mawazo ana cbuma kipya.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…