Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Ahaa haaaaa....
Nadhani ubize wa siasa....alafu kuanza siasa ukiwa na age ndogo tatizo saana,
Kuna ule umri wa kuruka ruka mfano ukiwa chuo. Sasa we upo bize na masiasaa mwanzo mwisho...
Ukifika late 30's ndo unakumbuka shuka, matokeo yake unaanza kugusa kuacha kugusa kuacha....
Paka watu waseme jogooo hawik
Mmh kama nyuki wa canteen sasa, amebaki tu kupiga picha na warembo