Kafulila amtambulisha mchumba wa Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.
Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.

Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?

wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?

Habari za uislamu/ukristo ni medieval thinking.

From the get go dini ni siasa za zamani tu.
 
Ni mchumba kweli ama wa kutoleana miwasho na kusogeza siku
 
uso%2Bkwa%2Buso.jpg

Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.

Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?

wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?

LABDA kasilimu
 
Last edited by a moderator:
duuh.. Mi nilikuwa najua wewe ni......

Ndo hivo, juzi nimekuona sehemu unakata mauno kweli, umekooondaa pole lakini haya mashindano ya lundenga waachie watoto, ona sasa ulivyoumbuka bibi bomba😉
 
Kuna watu wanahabari za kila mtu. .. sitoshangaa wakisema hadi hospital huyu aliyojifungulia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom