Zitto aliwabi kusema anatarajia kumuoa mtoto wa marehemu Abubakar Mgumia ambaye anafundisha UDSM na akasema alishazaa naye mtoto anayeitwa Seth Chachage.
Nadhani kabadili mawazo ana cbuma kipya.
Hata mimi hapa ameniangusha. Namkubali sana huyu jamaa lakini naanza kujiuliza kuhusu tuhuma nyingi zinazo mkabli. Haiwwzekani uende UMRA halafu uzungukwe na maulevi kama hivyo. Nnawasiwasi na Ibada yake ya UMRA kama kweli ilikuwa kwa ajili ya Allwah au kujionyesha kwa watu tu. Na kama huyo Anna ni mkristo basi hapo hapatakuwa na ndoa ni uzinzi tu.
Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.
Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?
wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?
Sawa rafiki tutachanga iwapo tu harusi itakuwepo si unajua uchumba sio harusiJiandae kwa michango kwanza rafiki 🙂
Sawa rafiki tutachanga iwapo tu harusi itakuwepo si unajua uchumba sio harusi
Kweli kabisa kuna mkaka alichumbia wasichana wengi kila mmoja alivikwa pete na utambulisho ulifanyika. Duh haya makitu hayakuanza leo kwa bahati mbaya hatujifunzi. Unaweza ukamuonyesha binti au kijana kuwa hapo unapoteza muda lkn hawezi kukusikia mpaka yamkute.Tena uchumba wenyewe wa miaka hii, hilo la uchumba si harusi linatokea sana.
Like ur ID bt not U......she is pretty!
....
Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke .....
....
Kwa hiyo yule mwanamke lectuter alizaa naye kapiga chini? Pole dada kwa kutumika kama kitotoleo. Ila Zitto ana sura mbaya utafikiri mtoto wa marehemu Remmy Ongara. Na roho yake ndivyo ilivyo mbaya.
Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...
Demu mkali sana. kama mke wangu vile
Acha uongo wako copy & paste na Tunu Pinda au kwa mbali na Anna Mkapa au Hawa Ghasia.