Kafulila amtambulisha mchumba wa Zitto Kabwe

Status
Not open for further replies.
Bora zito aachane na warembo hao watampa skendo tu. Maana siku si nyingi anaweza akaporwa hata na platnumz mzee wa vimwana.... Atafute binti mwingne wa kiasili asie na makuu
 
Safi,ukiwa na hela unakila kitu. Wanyange unachagua tuu.
 
Hao ni wakuchapa sio kuoa Zitto. Hehehe. Haya fwata sura hio.
 
Tena uchumba wenyewe wa miaka hii, hilo la uchumba si harusi linatokea sana.

Tatizo linaanzia pale mmoja wao wakiwa bado wachumba anapowaza eti...hivi huyu akinioa/nikimuoa halafu akaniacha itakuwaje nitafanyaje...!? Ni wachumba halafu wanawaza kuachana,...hawafiki mbali, na wakifika...hawakai kwa amani maana zitaanza timing kwa muhusika. Wengi ndiyo maana wana lazimisha PMU(pata mimba uolewe)...ama kumtafutia mchumba 'limbwata'
 
In fact huyo dada ni half cast wa kizungu mama yake ni mzungu kabisa wanasali pale saint peters Oysterbay...si dhani kama yule ni mtoto wa zito....labda wa kufikia

Mtoto wa zitto amezaa na kayemba anayeishi flats za udsm ardhi
 
Bora aoe,diva alimchafua sana. Wanawake sampuli ya diva ni wa kuwaitia watu wanaleta mzigo geto unapiga afu kesho hamjuani. Hakawii kukurekodi akauza picha kwa paparazi.
 
Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...

Inamana akizaa hafai kuolewa au mashine inakuwa ishaoza?andika mambo ya maana sio upuuzi km huo .
 
Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...
Daah news watu mmeziweka kando tuu mnasubiri wasaa.
 
Inamana akizaa hafai kuolewa au mashine inakuwa ishaoza?andika mambo ya maana sio upuuzi km huo .
read again nilichoandika... ni fact...hayo ya mashine kuoza ni yako.... fact zitabaki kuwa fact.....
 
Huyu msichana ni mtoto ya Jaji Bwana... alikuwa Jaji wa mahakama kuu kama sikosei...huyu msichana amesha zaa ana mtoto mmoja mdogo...
kama ameshazaa kwani Zito hawezi kumzalisha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…