Yule bdada wa Arizona kodogo anigoe roho kwa kumsema Zitto vibaya, sasa kitamshuka.
mkuu kuteleza bafuni ndio ninikishalewa huoni jicho nyanya.
afu demu kama kateleza bafuni vile.
interesting King'asti Nyani Ngabu .....
Mtoto wa kiislamu Zitto Zuberi Kabwe kazungukwa na pombe kwenye meza wakati juzijuzi alikuwa amekwenda Hijja ndogo! Kuna mijinga huuona uislamu wa Zitto pale anapo kwazana na chadema, kwenye mambo kama haya wanakuwa kimya kwa unafiki wao.
Hivi huyu Zzk alikosa nini mpaka umri huo aliofikia hana mke wakati mafundisho ya dini yanamtaka kijana balehe aoe?
wako wapi kina faizafox, CHAMVIGA, Ritz na buku saba wengine waliopigwa upofu?
Demu mkali sana. kama mke wangu vile
Hakuna ndoa hapa,hata ikiwepo haitadumu

Mchumba Ni kisu cha haja..
kama ameshazaa kwani Zito hawezi kumzalisha!
Hana kalio...mkuu kuteleza bafuni ndio nini
Huyo mkeo wa kuonea huruma sana. Hivi anajua kweli tabia zako laki si pesa?
Ivi kumbe we ni me???😱😱 nilikuwa najua weye ni sitti mtemvu
duuh.. Mi nilikuwa najua wewe ni......
Tabia zipi hizo?