Tetesi: Kafulila anahamia CCM kimkakati?

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Kwa tunaomjua kafulila na misimamo yake isiyotetereka eti leo awe hahisi kulegezwa na vipande vya noti? Mwanzo tulip wengi tuliwaza hivyo lakini kuna minong'ono inasikaka kwamba kulee ambapo wengi tunahisi ndio uelekeo wake kwa siku chache zijazo.Naam huyo ndio Davidi Kafulila bhana, tuwe naaneno ya akiba juu yake hasa vijana wa CHADEMA wanaomnanga sana mitandaonj.

Kafulila aliacha mabilion ya ESCROW 2015 leo iwe rahisi tu kukubali million 2 za ukuu wa wilaya inaignia akilini kweli? Kafulila kwa akili yake timamu anatambua kabisa kua maisha anayoishi sasa ni kwa msaada wa uwezo wa mke wake aliyepewa fursa na CHADEMA leo from no where amkane yeye na CHADEMA hadharani? Tena bado mke wake anajitokeza hadharani kulaani vitendo vya mume wake tena kwa kupuuzia maamuzi yake kabisa. Bado mchezo hatujaujua vizuri.

Nawaasa wanaCCM wenzangu inagawa mimi ni mwanachama mfu, tusubiri baada ya Kafulila kuanza kazi yake tutayasoma vizuri matokeo yake. Nasema Kafulila sio sio mwanaccm na hawezi kua mwanaCCM, tutakaposhtukia mivurugano na tifu mbali mbali ndani ya chama system ndio tutajua.

Ngoja awe karibu na system ili pate urahisi wa kufukua ESCROW zingine mpya halafu 2020 huyooo!

Wakati Mh Godbless Lema anasema kuna kijana mmoja aliyekea machachari 2010-2015 anaondoka kujiunga na kundi la wavulana hamkuelewa? Lema alijulua wapi hayo?
 
Mwacheni aende msiwatishe CCM wakashindwa kummalizia Mpunga wake.
 
Kuna nafasi nyingi sana za ukuu wa wilaya, huyu ni opportunist
 
Nani alikuambia kakataa ela ya escrow wakati ishu ya escrow ilivumbuliwa na citizen yeye akaweka mkazo tu zito na wabunge wengine walikuwa wanaijua ilkuwa ngumu kuinyamazisha ishu kwa sababu wengine wangebeba ajenda ilikuwa ajenda wazi sio ya siri kafulila mwache akafanye kazi rais alishaanza kumsifia wewe unadhani timu ya usajili lumumba ingefanye kama sio kumsajili kwa dau lolote akuna asiye na bei kwenye siasa za Afrika walikuwa akina masumbuko lamwai dr slaa mrema wote wamefika bei ata huyo mkewe kaitisha press kulinda ubunge wake tu akuna kingine chadema wanajua vita ya siasa silaa ni fedha na vyeo vya kisiasa ukiwa navyo unafanya usajili wa maana
 
Back
Top Bottom