MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kwa tunaomjua kafulila na misimamo yake isiyotetereka eti leo awe hahisi kulegezwa na vipande vya noti? Mwanzo tulip wengi tuliwaza hivyo lakini kuna minong'ono inasikaka kwamba kulee ambapo wengi tunahisi ndio uelekeo wake kwa siku chache zijazo.Naam huyo ndio Davidi Kafulila bhana, tuwe naaneno ya akiba juu yake hasa vijana wa CHADEMA wanaomnanga sana mitandaonj.
Kafulila aliacha mabilion ya ESCROW 2015 leo iwe rahisi tu kukubali million 2 za ukuu wa wilaya inaignia akilini kweli? Kafulila kwa akili yake timamu anatambua kabisa kua maisha anayoishi sasa ni kwa msaada wa uwezo wa mke wake aliyepewa fursa na CHADEMA leo from no where amkane yeye na CHADEMA hadharani? Tena bado mke wake anajitokeza hadharani kulaani vitendo vya mume wake tena kwa kupuuzia maamuzi yake kabisa. Bado mchezo hatujaujua vizuri.
Nawaasa wanaCCM wenzangu inagawa mimi ni mwanachama mfu, tusubiri baada ya Kafulila kuanza kazi yake tutayasoma vizuri matokeo yake. Nasema Kafulila sio sio mwanaccm na hawezi kua mwanaCCM, tutakaposhtukia mivurugano na tifu mbali mbali ndani ya chama system ndio tutajua.
Ngoja awe karibu na system ili pate urahisi wa kufukua ESCROW zingine mpya halafu 2020 huyooo!
Wakati Mh Godbless Lema anasema kuna kijana mmoja aliyekea machachari 2010-2015 anaondoka kujiunga na kundi la wavulana hamkuelewa? Lema alijulua wapi hayo?