Kafulila: Bei ya Umeme Kenya ni mara mbili ya Tanzania

Sio tuu ya Umeme , kiujumla bei ya kila kitu..

Hata hivyo tunatofautiana ukubwa wa Uchumi..

Uchumi unavyozidi kuwa mkubwa ndivyo maisha yanazidi kuwa ghali pia 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220526-132951.png
    71.5 KB · Views: 13
Huyo Tumbili hiyo 100/=kwa unit 1 ameipata wapi au huenda ana umeme ambao anauuza yeye siyo ule wa Tanesco.
 
Je mishahara yao ni sawa na ya kwetu?
 
Huu ndio ule umbukula ambao wana siasa wa Ccm wako nao.
Kwamba kama jirani mlo wa familia ta jurani ni kande kila siku, basi na wewe usi boreshe nyumba yako? Ytawaifa??
Ujinga mtupu!!!
 
Kwa nini tunapenda kulinganisha maisha yetu na nchi nyingine?
Ni jukumu la viongozi kuboresha maisha ya watu na siyo kubweteka kwa kuchungulia kwa jirani wakoje na kujidanganya eti kwako ni nafuu.
Mbona hatulinganishi na bajeti yao? Kenya bajeti yao ni zaidi ya Usd 20b wakati siye ni Usd 16b.
Umeme kwa uwezo wa kipato cha watanzania wengi bado uko juu Sana. Ni watanzania wachache sana wanaoweza kupikia umeme sababu ya gharama.
 
Na Kenya pia Wana nafuu sie huku marekani ni mara saba yake na hatulalamiki.
 
kwa hiyo kenya wakinya tulambe mavi yao?
 
Tumbili ktk ubora wake
 
Na shilingi moja ya kenya huku ni mara ishirini
 
Sisi tunanunua umeme UGANDA.

Unakuwaje bei rahisi?
 
Daah..hawa vilaza na wanafiki wanaangamiza nchi kuhubiri ujinga wao kwa wananchi.

Sawa sawa na bosi wao kusema bei ya mafuta ya usa ni ghali kuliko tz.

Hivi tuanze na swali dogo tu kati ya kenya na tz nani ana GDP kubwa.?

Nivyema tuwe tunaeleze kwa muktadha wa mazingira yetu..mbona kwenye kuwepo na tume huru za uchaguzi na uwepo wa demokrasia ya kweli hapo hawajifananishi hawa waroho wa madaraka...absurd

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeelewa mstari wa mwisho tu,
 
Kafulila Kafulila Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…