Kafulila: Daraja la Dar-Zanzibar kwa PPP litainua uchumi


Hakuna daraja la Dar to Zanzibar bali Dar to unguja. Zanzibar ni visiwa viwili ambavyo viko mbali sana
 
Zenji wawe na daraja la kiwaunganisha na Oman, sisi machogo tumeshawachoka na hilo daraja litakuwa linatukumbusha mambo mabaya wanayofanyiwa Watanganyika.
 
Kafulila PPP haiwezi kwa sababu ni mtu wa theory, ukija kwenye vitendo ni zero. Anaongelea sana ushirikiano wa sekta binafsi na umma lakini kiuhalisia sekta binafsi Tanzania inatengwa sana na serikali. Wafanya biashara binafsi wanavikwazo vingi, ukiachana na wachache wapigadeal wanaokula na wanasiasa kama akina Rostam.
 
Yaani wametuua maelfu na maelfu watanganyika halafu wanataka huyo muuaji wamjengee daraja ambalo ni hasara kwa watanganyika hivi wanatuonaje hawa wahuni?
 
Daraja la Dar-Zanzibar 🤷‍♂️.
Kilaza yupo ofisi kubwa tu haelewi hata anachoongea.
Daraja kigamboni jasho lilitutoka Magu alisimama barabara likaisha.
Ukweli Mtupu Uliosema
 
Tatizo huyu nae muongo muongo sana hakuna anachosema kikatimia ni kama mtumbuizaji au mfurahishaji kwenye makongamano mbalimbali ili yachangamke..
 
"Kukuza utalii: Urahisi wa usafiri kwa gari unaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje, na kuimarisha mapato ya sekta ya huduma nchini."

----------------------------------
Kwa sisi madereva wa magari ya utalii hii ndiyo fulsa pendwa.

Mgeni anatoka Zanz to Ngorongoro anafuatwa na hizi gari zetu direct hotelini mpaka polini. Hii kwa wageni wanaopenda adventure trip siyo wagonjwa 😆!.
 
Sijui kama jambo litatokea hili, kuna wamiliki wa vyombo vya maji, lazima kuwe na ugumu
 
Tanganyika na huko kwa wauaji, kwaajili ya kurahisisha wauaji kuja kiurahisi wakati wa chaguzi?
Tanganyika haitapata chochote kupitia hilo daraja, zaidi ya hasara. Kwa uharamia walioufanya hao watu wa huko kwa Tanganyika, nyakati zinakuja ambapo itakuwa ni salama zaidi kumpokea mgeni toka Kenya kuliko kutoka huko kwa wauaji. Hiyo nchi itakuwa ni security threat kwa nchi ya Tanganyika.
 
Daraja lijengwe zanzibar ha Tanga au Bagamoyo

liwe la ndani ya maji kukuza utalii na kupunguza athari za juu ya bahari
 
Una akili sana ongera mkuu PPP ni Rostam kapuku mwenye kampuni ndogo hiyo PPP haituhusu kabisa maana nilienda kwenye vikao vyake kiasi cha chini kabisa mzawa inatakiwa huwe na Bilioni 50 ndo uweze kufanya ayo PPP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…