CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Ngedere anahangaika sana.
UsitupangieComment ziwe fupi fupi
SawaUsitupangie
Akizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua milango ya biashara kwa kiwango kikubwa, lakini akasisitiza changamoto za maandiko ya miradi ya PPP na mtazamo wa kijamii kuhusu Daraja hilo, “Mimi kama binadamu nafikiria kile kisiwa kitafurika sana endapo kutakuwa na Barabara ya Dar-Zanzibar.”
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, alifafanua kuwa daraja hilo linapaswa kuangaliwa kama kichocheo cha uchumi na si tishio la Muungano au kufurika kwa watu upande mmoja.
“Bahari sio kigezo cha Muungano wetu kwani huu ni Muungano wa watu zaidi kuliko vitu kwani Daraja litakuwa chombo cha kuongeza kasi ya biashara, utalii na uwekezaji kwa pande zote za Muungano na si chanzo cha kuanguka kwa Muungano” alisema Kafulila.
Ni zipi ni Fursa za Kiuchumi Zinazotarajiwa endapo PPP itafanikiwa kujenga Daraja la Dar-Zanzibar.
=>Kuimarisha biashara na usafirishaji: Daraja litapunguza gharama za usafirishaji wa bidhaa kati ya Zanzibar na Bara, na kuongeza ushindani wa viwanda vidogo na vikubwa.
=>Kukuza utalii: Urahisi wa usafiri kwa gari unaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje, na kuimarisha mapato ya sekta ya huduma nchini.
=>Ajira na uwekezaji mpya: Ujenzi na uendeshaji wa daraja utahitaji nguvu kazi kubwa na utafungua nafasi kwa uwekezaji wa sekta binafsi katika hoteli, viwanda na huduma za usafirishaji.
=>Muunganiko wa masoko: Zanzibar na Dar es Salaam zitaunganishwa zaidi kiuchumi, na kuongeza mtiririko wa bidhaa, huduma na mitaji.
=>Mapato ya serikali: Kupitia kodi na ada za huduma, serikali inaweza kuongeza mapato yake na kupunguza utegemezi wa mikopo na hivyo kuwapunguzia wananchi mzigo wa kodi na tozo mbalimbali.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza kuwa miradi mikubwa ya PPP kama daraja la Dar-Zanzibar huishirikisha jamii kwanza ili kupima utayari wa wananchi na umma ili kuhakikisha manufaa ya kiuchumi yanakwenda sambamba na uhalisia wa kijamii kwani maneno ya Mkurugenzi Hamad Hamad ni kweli kwamba jamii ya Zanzibar elimu inahitajika.
UsitupangieComment ziwe fupi fupi
HongeraAkizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua milango ya biashara kwa kiwango kikubwa, lakini akasisitiza changamoto za maandiko ya miradi ya PPP na mtazamo wa kijamii kuhusu Daraja hilo, “Mimi kama binadamu nafikiria kile kisiwa kitafurika sana endapo kutakuwa na Barabara ya Dar-Zanzibar.”
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, alifafanua kuwa daraja hilo linapaswa kuangaliwa kama kichocheo cha uchumi na si tishio la Muungano au kufurika kwa watu upande mmoja.
“Bahari sio kigezo cha Muungano wetu kwani huu ni Muungano wa watu zaidi kuliko vitu kwani Daraja litakuwa chombo cha kuongeza kasi ya biashara, utalii na uwekezaji kwa pande zote za Muungano na si chanzo cha kuanguka kwa Muungano” alisema Kafulila.
Ni zipi ni Fursa za Kiuchumi Zinazotarajiwa endapo PPP itafanikiwa kujenga Daraja la Dar-Zanzibar.
=>Kuimarisha biashara na usafirishaji: Daraja litapunguza gharama za usafirishaji wa bidhaa kati ya Zanzibar na Bara, na kuongeza ushindani wa viwanda vidogo na vikubwa.
=>Kukuza utalii: Urahisi wa usafiri kwa gari unaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje, na kuimarisha mapato ya sekta ya huduma nchini.
=>Ajira na uwekezaji mpya: Ujenzi na uendeshaji wa daraja utahitaji nguvu kazi kubwa na utafungua nafasi kwa uwekezaji wa sekta binafsi katika hoteli, viwanda na huduma za usafirishaji.
=>Muunganiko wa masoko: Zanzibar na Dar es Salaam zitaunganishwa zaidi kiuchumi, na kuongeza mtiririko wa bidhaa, huduma na mitaji.
=>Mapato ya serikali: Kupitia kodi na ada za huduma, serikali inaweza kuongeza mapato yake na kupunguza utegemezi wa mikopo na hivyo kuwapunguzia wananchi mzigo wa kodi na tozo mbalimbali.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza kuwa miradi mikubwa ya PPP kama daraja la Dar-Zanzibar huishirikisha jamii kwanza ili kupima utayari wa wananchi na umma ili kuhakikisha manufaa ya kiuchumi yanakwenda sambamba na uhalisia wa kijamii kwani maneno ya Mkurugenzi Hamad Hamad ni kweli kwamba jamii ya Zanzibar elimu inahitajika.
Hili tunalitakaAkizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua milango ya biashara kwa kiwango kikubwa, lakini akasisitiza changamoto za maandiko ya miradi ya PPP na mtazamo wa kijamii kuhusu Daraja hilo, “Mimi kama binadamu nafikiria kile kisiwa kitafurika sana endapo kutakuwa na Barabara ya Dar-Zanzibar.”
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa PPPC, Bwana David Kafulila, alifafanua kuwa daraja hilo linapaswa kuangaliwa kama kichocheo cha uchumi na si tishio la Muungano au kufurika kwa watu upande mmoja.
“Bahari sio kigezo cha Muungano wetu kwani huu ni Muungano wa watu zaidi kuliko vitu kwani Daraja litakuwa chombo cha kuongeza kasi ya biashara, utalii na uwekezaji kwa pande zote za Muungano na si chanzo cha kuanguka kwa Muungano” alisema Kafulila.
Ni zipi ni Fursa za Kiuchumi Zinazotarajiwa endapo PPP itafanikiwa kujenga Daraja la Dar-Zanzibar.
=>Kuimarisha biashara na usafirishaji: Daraja litapunguza gharama za usafirishaji wa bidhaa kati ya Zanzibar na Bara, na kuongeza ushindani wa viwanda vidogo na vikubwa.
=>Kukuza utalii: Urahisi wa usafiri kwa gari unaweza kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje, na kuimarisha mapato ya sekta ya huduma nchini.
=>Ajira na uwekezaji mpya: Ujenzi na uendeshaji wa daraja utahitaji nguvu kazi kubwa na utafungua nafasi kwa uwekezaji wa sekta binafsi katika hoteli, viwanda na huduma za usafirishaji.
=>Muunganiko wa masoko: Zanzibar na Dar es Salaam zitaunganishwa zaidi kiuchumi, na kuongeza mtiririko wa bidhaa, huduma na mitaji.
=>Mapato ya serikali: Kupitia kodi na ada za huduma, serikali inaweza kuongeza mapato yake na kupunguza utegemezi wa mikopo na hivyo kuwapunguzia wananchi mzigo wa kodi na tozo mbalimbali.
Kafulila alihitimisha kwa kusisitiza kuwa miradi mikubwa ya PPP kama daraja la Dar-Zanzibar huishirikisha jamii kwanza ili kupima utayari wa wananchi na umma ili kuhakikisha manufaa ya kiuchumi yanakwenda sambamba na uhalisia wa kijamii kwani maneno ya Mkurugenzi Hamad Hamad ni kweli kwamba jamii ya Zanzibar elimu inahitajika.
NakuelewaAkizungumza kwenye Kongamano na Wadau wa TPSF na PPPC Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Zanzibar (ZNCC), Hamad Hamad, alieleza kuwa mradi wa Daraja la Dar- Zanzibar unaweza kufungua milango ya biashara kwa kiwango kikubwa, lakini akasisitiza changamoto za maandiko ya miradi ya PPP na mtazamo wa kijamii kuhusu Daraja hilo, “Mimi kama binadamu nafikiria kile kisiwa kitafurika sana endapo kutakuwa na Barabara ya Dar-Zanzibar.”