Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kafulila ni kiongozi, napongeza
 
Mkopo sio mbaya kama Utaufanyia kazi zilizokusudiwa,

Hata ukienda kuchukua loan kwenye commercial banks wanakusisitiza ukafanya vitu ulivyoombea mkopo.

Sasa kama umeomba mkopo kwaajili ya Biashara nenda kafanye Biashara sio Ukaoe mke wa pili.

Kafulila yuko sawa
 
Mheshimiwa Kafulila yupo sahihi kabisa na ndio maana Anaendelea kuungwa mkono sana
 
Kafulila ndo anatakiwa kuwa msemaji wa ccm, anaziumudu siasa za hoja na propaganda.
 
100%βœ“
 
Noted
 
Nakubaliana na wewe kwenye hili chambu
 
Uchawa uliochangamka
 
Nakubaliana na wewe Kwa 100%βœ“
 
Hii ni nakubaliana nalo
 
Nzuri sana hii,
 
Tukope tu Mzee baba ila matumizi vipi?
 
Jinga kabisa hili lichawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…