Marshal plan iliyojenga Ulaya Hali yao ya tekelinalokujia ilikuwa kama ya kwetu kwamba huo ubia utatutoa huko. Tulikuwa na KADCO, Alliance Air, Mkataba wa SA na ATC , RITES , Iptl, Richmond, nk je ilitutoa huko.
Nyerere alisema tuna hitaji watu sio wezi ndio tunaweza kutoka hapa tulipo.
Siasa Safi sio hii ya kuuuza uza vitu, ndio maana Leo hii wazaramo hawapo darisalam yao. Tabia ya kusaini mikataba ya hovyo hovyo haitatupeleka kokote, na Maendeleo sio maneno. Sasa hivi kuna hela zimelala kwenye JNHEP hazizalishi, SGR ya vipande vipande, TAZARA. Kuna vitu vya miradi vinatakiwa kufanywa na Tumebya Mipango au wachumi kama hatuna tume ya Mipango na na ikifikia kuweka mikataba iwekwe na wanasheria sio yeye au wanasiasa .