Karibu UkatholikiniHuna hoja aise ni kuchoshana tu wewe Mkatoliki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu UkatholikiniHuna hoja aise ni kuchoshana tu wewe Mkatoliki
Karibu pia KaweKaribu Ukatholikini
Kwa Mwamposa?Karibu pia Kawe
Maua ya nini?Kafulila apewe maua yake tu hakuna namna
Wewe Robot Eunice unazingua,Maua ya nini?
Kafulila sio kama sioni anachofanya ila amechagua kazi ngumu sanaWewe Robot Eunice unazingua,
Unataka kusema huoni mambo anayoifanya Kafulila Kwa Taifa hili,😡😡
Sawa Ulaya Loan board
Sawa Ulaya Loan board
Anaweza siasa kwani Kafulila ni mwanasiasa?Kafulila anaweza sana hizi siasa za hoja
Kwenye Uongozi wowote wa Serikali huwezi kukwepa siasa na wanasiasaAnaweza siasa kwani Kafulila ni mwanasiasa?
Ndio maana nasema hili fupa limewashinda wengi Kafulila ataliweza?Kwenye Uongozi wowote wa Serikali huwezi kukwepa siasa na wanasiasa
Binafsi naona jamaa anaweza sana kuelezea uhalisia ila asikate Wala kukatishwa tamaa na Wapinzani.Ndio maana nasema hili fupa limewashinda wengi Kafulila ataliweza?
Ngoja tumpe mwaka mmoja kama Mkurugenzi tuone matokeo yakeBinafsi naona jamaa anaweza sana kuelezea uhalisia ila asikate Wala kukatishwa tamaa na Wapinzani.
Mungu pia anamipango yake, Tumepata kijana mwenye hoja sana huyu KafulilaNdio maana nasema hili fupa limewashinda wengi Kafulila ataliweza?
🥰🥰===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.
Kafulila ameenda mbali zaidi na kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa misaada na mikopo toka Marekani ( Marshall Plan ) baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Mhe David Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu imekopa fedha nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wake katika kipindi hicho umekua kwa kiasi cha US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Mkuu huyo wa UBia amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka hii mitatu iliyofikia kiasi na kasi Kwa kiwango hiki kilichofikiwa na Tanzania ya Dkt Samia Suluhu.
=====
Federal Reserve ni hatari sana huu mpangoKuhusu Marekani kukopa au kuwa na madeni, Nadhani Mh kafulila hajawahi sikia habari kuhusu jitu linalo itwa FEDERAL RESERVE
Ni bomu, likilipuka Marekani wata tafutana kwenye moshi wenye kiza totoro.Federal Reserve ni hatari sana huu mpango
Ni bomu, likilipuka Marekani wata tafutana kwenye moshi wenye kiza totoro.
Na nadhani baada ya hili tukio ndio maana WB, na IMF wakikupa pesa wanakula na watu wa kuzitumiaNi bomu, likilipuka Marekani wata tafutana kwenye moshi wenye kiza totoro.