John Paul The Second
JF-Expert Member
- Apr 27, 2024
- 298
- 343
Nadhani hizi zako hear says tuMkuu, you can't be so sure....!!?
Hujui ni kwa sababu gani huwa hawatangazi mikopo yote wanayoipata .... wanaitangaza sporadically....!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani hizi zako hear says tuMkuu, you can't be so sure....!!?
Hujui ni kwa sababu gani huwa hawatangazi mikopo yote wanayoipata .... wanaitangaza sporadically....!!
Unaakili sana inabidi CCM tukupe hata UDC utusaidieNdio point inayotakiwa.Nchi zote za Afrika ,Ulaya,Asia nk zote zimekopa ndio zikajenga base ya uchumi wao.
Kwa mujibu wa Uchumi,Nchi za Afrika zinakosa Mitaji ndio chanzo Cha Poverty cycle.
Hoja iwe matumizi ya mikopo na itumike wapi na sio kukopa,ni kukosa akili.
Nadhani hizi zako hear says tu
Uzuri wa hii Mikopo tukikopa kwenye matumizi pia tunasimamiwa.Off course we do not have all the details. Lakini circumstantial evidence zinaonyesha kuwa tunakopa hovyo ovyo. Hiyo alituthibitishia Ndugai ..... na diyo sababu alipigwa kumbo kubwa na la haraka.
[emoji16][emoji16][emoji16] kabisa mku wangu kazi tunaiyona.Mheshimiwa Kafulila ni kiongozi Mwenye uwezo mkubwa sana wakiuongozi,kujenga hoja, kutetea hoja,kushawishi kwa hoja na kumfanya mtu akamuelewa kwa urahisi na kwa lugha rahisi kabisa.
Sasa utakopa bila Business plan?
Wanachotaje hela bila documents?Inawezekana..Mbona kuna waliochota hela banks kadhaa bila documents?? Tanzania ni Tanzania
WB na IMFSource ni nini? WB, IMF aU MITANDAO?
Tupatie na sisi tuone,WB na IMF
Kesi ziko mahakamani. Hatuna haki ya kujadili kesi hizo 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣Wanachotaje hela bila documents?
,🤣🤣🤣 Mambo ni mengi sanaKesi ziko mahakamani. Hatuna haki ya kujadili kesi hizo 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
So?Wewe jamaa utakuwa ni mwalimu kama sikosei, 😃
Marshal plan iliyojenga Ulaya Hali yao ya tekelinalokujia ilikuwa kama ya kwetu kwamba huo ubia utatutoa huko. Tulikuwa na KADCO, Alliance Air, Mkataba wa SA na ATC , RITES , Iptl, Richmond, nk je ilitutoa huko.Unajua Marshall plan kwanza? Stup!d
Unamawazo mazuri sana lakini namna anavyoyawakiliasha ndio Tatizo,Marshal plan iliyojenga Ulaya Hali yao ya tekelinalokujia ilikuwa kama ya kwetu kwamba huo ubia utatutoa huko. Tulikuwa na KADCO, Alliance Air, Mkataba wa SA na ATC , RITES , Iptl, Richmond, nk je ilitutoa huko.
Nyerere alisema tuna hitaji watu sio wezi ndio tunaweza kutoka hapa tulipo.
Siasa Safi sio hii ya kuuuza uza vitu, ndio maana Leo hii wazaramo hawapo darisalam yao. Tabia ya kusaini mikataba ya hovyo hovyo haitatupeleka kokote, na Maendeleo sio maneno. Sasa hivi kuna hela zimelala kwenye JNHEP hazizalishi, SGR ya vipande vipande, TAZARA. Kuna vitu vya miradi vinatakiwa kufanywa na Tumebya Mipango au wachumi kama hatuna tume ya Mipango na na ikifikia kuweka mikataba iwekwe na wanasheria sio yeye au wanasiasa .
Sio kweli kesi zijadiliwe tu ili tufikie uelewa wa pamojaKesi ziko mahakamani. Hatuna haki ya kujadili kesi hizo 😂 😂 😂 🤣 🤣 🤣
Tukiacha wivu wa kibinadamu Kafulila ni miongoni mwahazina kubwa za Taifa hili, VIJANA kama hawa wanahitaji kutunzwa na kuandaliwa kwaaji ya baadae===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.
Kafulila ameenda mbali zaidi na kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa misaada na mikopo toka Marekani ( Marshall Plan ) baada ya Vita kuu ya Pili ya Dunia miaka ya 1948.
Hata hivyo Mhe David Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu imekopa fedha nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wake katika kipindi hicho umekua kwa kiasi cha US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.
Mkurugenzi Mkuu huyo wa UBia amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jinsi alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka hii mitatu iliyofikia kiasi na kasi Kwa kiwango hiki kilichofikiwa na Tanzania ya Dkt Samia Suluhu.
=====
kama huoni hoja nilizoweka hapo, basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.Nadhani ni vema ungeishambulia hoja yake kuliko kumshambulia Kafulila,
Kafulila amesema kukopa kwa malengo hasa ya miradi ya Maendeleo ni jambo jema,
Sasa kama. unahoja kinzani ulifaa kuiwasilisha ila sio kumshambulia mleta mada huo ni Ushamba.
Mkuu Kalamu salama,kama huoni hoja nilizoweka hapo, basi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo.
Na mwambie huyo rafiki yako, akiacha kuweka uchawa ndani ya kazi zake hatasikia tukizungumzia hilo la uchawa.
Na kama bado huelewi, utakuwa mgumu sana wa kuelewa.
ChoiceVariable ni mwandishi mzuri sanaUnaakili sana inabidi CCM tukupe hata UDC utusaidie
Ila ndio chawa promaxChoiceVariable ni mwandishi mzuri sana