Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.

Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.

Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.

Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,

Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.​
Miradi ya Maendeleo inayostahili mikopo sio hiyo tuu aliyotaja Bali na mingine Mingi tuu kwenye sekta zote.

Sio tuu Ulaya Hadi China imejengwa Kwa pesa za mikopo ,kukopa kunakupa fursa ya kufanya Kwa haraka na uzalishaji kuanza fasta huku unalipa mdogo mdogo kutokana na fursa zilizoletwa na miradi hiyo ya mikopo.

Na ndio maana Nchi zote Duniani zinapambana kutafuta mikopo.Kwa Nchi kubwa kama hii ambayo hakuna Barabara za kutosha,reli,maji,umeme nk bila kupata pesa za kuifungua ni wazi watu watazliwa maskini na kurithisha vizazi vyao ufukara.

Nashangaa Kwa nini Serikali inasita sita kukopa kisa ujamaa mentality.Nyerere alikopa Kwa Ajili ya vita Uganda,alikopa Kwa Ajili ya reli ya Tazara nk nk.
 
Hata Mimi nashangaa kuona watu wanajadili kuhusu Serikali kukopa badala ya kujadili matumizi Bora ya hiyo mikopo,

Tukopeni tu ila sio Commercial loans
 
Ndio point inayotakiwa.Nchi zote za Afrika ,Ulaya,Asia nk zote zimekopa ndio zikajenga base ya uchumi wao.

Kwa mujibu wa Uchumi,Nchi za Afrika zinakosa Mitaji ndio chanzo Cha Poverty cycle.

Hoja iwe matumizi ya mikopo na itumike wapi na sio kukopa,ni kukosa akili.
 
Miradi ya Maendeleo inayostahili mikopo sio hiyo tuu aliyotaja Bali na mingine Mingi tuu kwenye sekta zote.

Sio tuu Ulaya Hadi China imejengwa Kwa pesa za mikopo ,kukopa kunakupa fursa ya kufanya Kwa haraka na uzalishaji kuanza fasta huku unalipa mdogo mdogo kutokana na fursa zilizoletwa na miradi hiyo ya mikopo.

Na ndio maana Nchi zote Duniani zinapambana kutafuta mikopo.Kwa Nchi kubwa kama hii ambayo hakuna Barabara za kutosha,reli,maji,umeme nk bila kupata pesa za kuifungua ni wazi watu watazliwa maskini na kurithisha vizazi vyao ufukara.

Nashangaa Kwa nini Serikali inasita sita kukopa kisa ujamaa mentality.Nyerere alikopa Kwa Ajili ya vita Uganda,alikopa Kwa Ajili ya reli ya Tazara nk nk.
Naona unatafuta bifu na Mzee Ndugai
 
Hii Mikopo ya Riba ya 0.5% kwa miaka 20 inatoafauti gani Marshall Grant?

Halafu ndani ya hiyo miaka 20 tunatembeza agenda ya kuomba tusamehewe madeni kama Mkapa,

Sioni shida ya kukopa tukopeni tu
 
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.

Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.

Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.

Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,

Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.​
Tunajua ilijengwa kwa mkopo ila tofauti ni kuwa wenzetu siyo wezi kama sisi,pesa ikipangwa kufanya kazi fulani basi inafanya kazi kweli kwa ubora!
 
Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Soma HAPA
Wewe kwa akili zako unaamini kuwa Uchumi umekuwa kiasi icho!!
Hivi Kuna uhusiano gani kati ya kukua kwa Uchumi na maisha ya Wananchi kuwa magumu!!
 
Sasa kama mtu anakupa pesa na unailipa kwa riba ya 0.5% shida iko wapi hapo?

Kumbuke money depreciation value yake ni kubwa,

Acheni ushamba jisomeeni

Ni mikopo mingapi ya 0.5 % .... Hiyo watakuambia.

Kwenye SGR tumesikia wamekopa mpaka kwenye commercial Banks ... endelea tu kusikiliza propaganda.
 
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.

Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.

Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.

Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,

Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.​
mikopo inafikia target husika ila mikopo huku mnagawana wanasiasa , sasa italipwaje ?
 
Njaa mbaya sana..Marshall Plan ilikuwa kwa ajili ya kueneza Ubepari Ulaya hasa Ulaya Mashariki ambako waliamua kuukubali Ujamaa
 
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao.

Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya miradi ya maendeleo ila ni dhambi kukopa ili kugharamia mambo kama mishahara na mambo mengine yasiyo ya kimaendeleo yaani matumizi ya kawaida.

Kafulila ameenda mbali mpaka kuwakumbusha namna Ulaya ilivyojengwa kwa mikopo toka Marekani (MARSHALL PLAN ) baada ya Vita kuu ya Pili vya Dunia miaka ya 1948.

Hata hivyo Kafulila ameonesha si kweli kwamba Uchumi wa Tanzania unajengwa kwa Mikopo pekee ila ni Kwa sehemu tu,

Kafulila anasema, Tanzania kwa kipindi cha miaka mitatu tumekopa nje kiasi cha US$ 5 bilioni wakati Uchumi wetu katika kipindi hicho umekua kwa US$ 20 bilioni sawa na tofauti chanya ya US$ 15 bilioni.

Mkurugenzi Kafulila amemsifu zaidi Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyoipokea nchi na kwa kasi hii ya Uchumi ambayo hakuna nchi yoyote Africa Mashariki na Kati kwa miaka mitatu imefikia kiasi na kiwango chake.​
Hakuna anaepinga kukopa ila matumizi ya hii mikopo,ubora wa hiyo miradi hata mkijifanyia tathimini sio tukutofetch value hata ubora pia mfano mzuri tazama shule zilizojengwa zamani na hizi mlizojenga sisiemu,tazama barabara za enzi hizo compared na mlizojenga watu wakihoji nongwa mnafichq nini?
 
Mwaka 2021 GDP ya Tanzania ilikuwa $bilioni 70, mwaka huu wa 2024 GDP yetu ni $billion 80,
Kafulila aache uongo.
 
Back
Top Bottom