Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania..Kwambs ".Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo ameandika Kafulila'

Sawa!
Je. (Net Present Value) , Thamani ya fedha hiyo ya wakati huo ujao itakuwa sawa na thamani ya shilingi ngapi kwa sasa?
 
Watuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?

Tumeweza kuifikia?

Kama tumeshindwa, kwanini?

Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Nani akwambie kama hufuatilii mambo ya serikali ila uko busy na ujinga wa kina Lisu? Mwambie Lisu akwambie
 
Namba zinavutia usipozingatia hesabu za uchumi kama inflation

Milioni 12 kwa mwaka 2050 usije shangaa itakuwa ni pesa ya kujazia lita ya petrol

Hapo zamani gari ilikuwa inauzwa shilingi 500
Kafulila anaamini watu wote ni wajinga kama watu wa Kigoma
 
Miaka 26 baadaye USD/TZS zitakuwa na thamani sawa na sasa? Je, miaka 26 nyuma zilikuwa na value/purchasing power ya mwaka huu 2024?
Zinaweza kuwa chini zaidi ya Sasa maana Uchumi wetu utaongezeka zaidi kuliko wa USA
 
View attachment 3179123

Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,

Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,

1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa chini ya CCM ifikapo mwaka 2050 Uchumi wa nchi yao utakua na kufika $700bn sawa na TZS 1,750 Trilioni.

2. Kafulila amewataka pia Watanzania watambue kuwa chini ya CCM Pato lao litakuwa na kufikia kati ya $4,500 na $8,000 kwa mwaka yaani hapa kila mtu itakuwa ni kula bata tu,

3. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu yakuwa chini ya CCM vipato vyao na Pato la Taifa lao vitaongezeka karibu mara tisa (9) zaidi hii hakuna nchi yoyote itaweza.

4. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa Uchumi wao kwa Sasa ni $80bn lakini chini ya CCM Kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi Tajiri zaidi Africa na hii ni chini ya CCM.

5. Kila Mtanzania na afahamu ukuaji huu mkubwa wa maajabu wa Uchumi wa Tanzania ni chini ya CCM tu.
Walitudanganya na gas ya Mtwara kuwa itashuka bei
Walitudanganya na Stiglers kuwa umeme utashuka bei
Leo pato la taifa
 
Plan za kijinga sana kwa miaka 25 kutoka leo tuwe tunatengeneza $4500 ambayo ni sawa na $1,048.49 kwa mwaka kwa thanami leo kwa mfumuko wa bei wa 6% kwa mwaka.

Tatizo la siku hizi vijana wetu wanakariri shule hawaelewi haya🤦🏾‍♂️
Umeandika pumba sana ,Tulia unadike vizuri
 
View attachment 3179123

Mkurugenzi Mkuu wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa X zamani tweeter,

Kafulila akiifafanua Dira ya Maendeleo ya Tanzània ya 2025- 2050 amesema yafuatayo,

1. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa chini ya CCM ifikapo mwaka 2050 Uchumi wa nchi yao utakua na kufika $700bn sawa na TZS 1,750 Trilioni.

2. Kafulila amewataka pia Watanzania watambue kuwa chini ya CCM Pato lao litakuwa na kufikia kati ya $4,500 na $8,000 kwa mwaka yaani hapa kila mtu itakuwa ni kula bata tu,

3. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu yakuwa chini ya CCM vipato vyao na Pato la Taifa lao vitaongezeka karibu mara tisa (9) zaidi hii hakuna nchi yoyote itaweza.

4. Kafulila amewataka Watanzania wafahamu kuwa Uchumi wao kwa Sasa ni $80bn lakini chini ya CCM Kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi Tajiri zaidi Africa na hii ni chini ya CCM.

5. Kila Mtanzania na afahamu ukuaji huu mkubwa wa maajabu wa Uchumi wa Tanzania ni chini ya CCM tu.
Ni assumption, hatujui by 2050 uchumi wa dunia utakuwaje?
 
Walitudanganya na gas ya Mtwara kuwa itashuka bei
Walitudanganya na Stiglers kuwa umeme utashuka bei
Leo pato la taifa
Kwani gesi haijashuka bei? Huoni Wananchi wanafurahia majiko ya bei ya ruzuku ?
 
Watuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?

Tumeweza kuifikia?

Kama tumeshindwa, kwanini?

Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Matapeli hao, watu hawajui hata kesho yao watakula nini wao wanazungumzia 25 yrs to come
 
Back
Top Bottom