Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Kwa Miaka 25 ijayo utaongezeka karibu mara 9 zaidi na kufikia 700bn na kuifanya Tanzania..Kwambs ".Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo ameandika Kafulila'

Sawa!
Je. (Net Present Value) , Thamani ya fedha hiyo ya wakati huo ujao itakuwa sawa na thamani ya shilingi ngapi kwa sasa?
 
Watuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?

Tumeweza kuifikia?

Kama tumeshindwa, kwanini?

Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Nani akwambie kama hufuatilii mambo ya serikali ila uko busy na ujinga wa kina Lisu? Mwambie Lisu akwambie
 
Namba zinavutia usipozingatia hesabu za uchumi kama inflation

Milioni 12 kwa mwaka 2050 usije shangaa itakuwa ni pesa ya kujazia lita ya petrol

Hapo zamani gari ilikuwa inauzwa shilingi 500
Kafulila anaamini watu wote ni wajinga kama watu wa Kigoma
 
Miaka 26 baadaye USD/TZS zitakuwa na thamani sawa na sasa? Je, miaka 26 nyuma zilikuwa na value/purchasing power ya mwaka huu 2024?
Zinaweza kuwa chini zaidi ya Sasa maana Uchumi wetu utaongezeka zaidi kuliko wa USA
 
Walitudanganya na gas ya Mtwara kuwa itashuka bei
Walitudanganya na Stiglers kuwa umeme utashuka bei
Leo pato la taifa
 
Umeandika pumba sana ,Tulia unadike vizuri
 
Ni assumption, hatujui by 2050 uchumi wa dunia utakuwaje?
 
Walitudanganya na gas ya Mtwara kuwa itashuka bei
Walitudanganya na Stiglers kuwa umeme utashuka bei
Leo pato la taifa
Kwani gesi haijashuka bei? Huoni Wananchi wanafurahia majiko ya bei ya ruzuku ?
 
Watuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?

Tumeweza kuifikia?

Kama tumeshindwa, kwanini?

Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Matapeli hao, watu hawajui hata kesho yao watakula nini wao wanazungumzia 25 yrs to come
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…