Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Unamfahamu aliyeandaa hiyo Dira lakini kaka?
 
2050, wengi wetu watakua wamefukiwa sana
 
Jambo moja ujue kwenye hii safari kila kitu kinapanda ( all conditions remains constant)
 
KAFULILA anafaa snaa kuwa Waziri Mkuu
 
Jambo moja ujue kwenye hii safari kila kitu kinapanda ( all conditions remains constant)
Sasa kama kila kitu kinapanda, hapo ndipo kuna umuhimu wa kujua kupanda kwa gharama za vitu kutakuwaje?

Watu wasishangilie kupanda kipato tu, kumbe inawezekana kipato kitapanda mara tatu, halafu gharama za maisha zitapanda mara tano.

Ukipiga hesabu kiukweli kuangalia purchasing power parity, uhalisia, kipato kinakuwa kimeshuka ingawa kinamba kipato kimepanda.

Hii ndiyo angle ambayo serikali haitaki kugusia.

Na bila kugusia angle hii, hii habari inakuwa propaganda ya kisiasa zaidi ya economic projection.
 
Uko sahihi,

Thamani ya pesa haitakuwa kama ilivyo leo
 
Samia mitano tena, Kafulila anastahili zaidi ya hapa
 
Muda huo dola itakuwa inasoma ngapi kwa pesa madafu?
 
Asante sana Samia
 
Hongera sana CÇM
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…