Kafulila: Ifikapo mwaka 2050 kipato cha kila Mtanzania kitakuwa kati ya TZS 12M na 20M pato la Taifa litafikia $700bn mara 9 zaidi ya leo

Asante sana Tanzania
 
 
Mungu atupe Maisha marefu na Rais atakuwa ni David Kafulila
 
Poa kabisa
 
Kafulila apewe maua yake 👏👏
 
SAMIA MITANO TENA
 
2050 nitakuwa nakaribia kustaafu nirudi kijijini..
 
Kafulila katika ubora wake
 
Hata angesema uchumi wetu utakuwa trilioni 6, 2050 hakuna wa kumpinga. Mdomo si mali yake bwana.
 
CCM ndio baba wa Watanzania iheshimiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…