Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
====
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi Tanzània (PPP-Centred) Bw. David Kafulila ametoa wito kwa Sekta binafsi au watu binafsi wenye mitaji, teknolojia na utafiti kwenye mradi au miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya kiserikali wafike ofisini kwake kwaajili ya mazungumzo ya namna ya kuifanya miradi hiyo.
Mkurugenzi David Kafulila anasema ikiwa wadau hao wa maendeleo watakuwa wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara hizo na kuiendesha kwa faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPPC.
Mkurugenzi Kafulila ameyasema hayo alipohokiwa katika kituo cha runinga cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Mkurugenzi David Kafulila amesema Serikali na sekta binafsi wanaweza kufanya mradi wa Ubia na sekta binafsi kwa njia nne ambazo ni,
1. Solicited
2. Unsolicited
Your browser is not able to display this video.