Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
Mimi nataka niendeshe BOT
Naona pale kuna kitu nikikabidhiwa Tanzania na watanzania nawaahidi tutafika mbali sana.
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
KWELI HUYU NI TUMBILI CCM HAWAKUKOSEA KUMTUKANA LIVE
 
I like the idea..kwakweli hapo David kaongea kiweledi sana. Ni kweli kuna miradi serikali inashindwa pakubwa , nafsi itolewe kwa private sector kumerge nao ili kuleta tija. Kwa kuanzia hata wao TIC wanaweza identify miradi chini ya serikali inayolegalega kisha wazialike private entities Waone cha kufanya chenye tija
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
Mwenge unaendeshwa kwa hasara kila mwaka na hakuna mbia atataka kujaribu biashara ya mwenge..😛😛
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737Masta 2mbili
 
Huyu jamaa ni kichwa sana na mwenye maarifa mengi sana kichwani mwake. Binafsi nina mkubali sana na nina kuunga mkono kabisa na kutamani kuona Mwakani akiingia Bungeni na ikimpendeza Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amteue Kuwa uwaziri.

Atafanya vizuri sana tena sana kwa sababu anao uwezo mzuri na uzoefu.mfano ametumikia Mikoani kama Katibu Tawala Songwe na RC Simiyu na sasa mkurugenzi wa PPP.kwa hiyo anayafahamu mazingira yote na uendeshaji wa serikali kuanzia ngazi za chini kabisa na hivyo atakuwa msaada na nguzo imara katika wizara atakayopewa.View attachment 3075767View attachment 3075767
Aede bungeni kupitia chama gani, kama ni ccm labda unataka awe kama Mpina. Kawaida ya ccm haitaki wenye akili za kiuchunguzi, ccm haina tofauti na madhebu ya dini wewe ukianza kuhoji mambo ya kanisa haufai.
 
Back
Top Bottom