Huyu jamaa ni kichwa sana na mwenye maarifa mengi sana kichwani mwake. Binafsi nina mkubali sana na nina kuunga mkono kabisa na kutamani kuona Mwakani akiingia Bungeni na ikimpendeza Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan amteue Kuwa uwaziri.
Atafanya vizuri sana tena sana kwa sababu anao uwezo mzuri na uzoefu.mfano ametumikia Mikoani kama Katibu Tawala Songwe na RC Simiyu na sasa mkurugenzi wa PPP.kwa hiyo anayafahamu mazingira yote na uendeshaji wa serikali kuanzia ngazi za chini kabisa na hivyo atakuwa msaada na nguzo imara katika wizara atakayopewa.
View attachment 3075767View attachment 3075767