Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

Mimi nataka niendeshe BOT
Naona pale kuna kitu nikikabidhiwa Tanzania na watanzania nawaahidi tutafika mbali sana.
 
KWELI HUYU NI TUMBILI CCM HAWAKUKOSEA KUMTUKANA LIVE
 
I like the idea..kwakweli hapo David kaongea kiweledi sana. Ni kweli kuna miradi serikali inashindwa pakubwa , nafsi itolewe kwa private sector kumerge nao ili kuleta tija. Kwa kuanzia hata wao TIC wanaweza identify miradi chini ya serikali inayolegalega kisha wazialike private entities Waone cha kufanya chenye tija
 
Mwenge unaendeshwa kwa hasara kila mwaka na hakuna mbia atataka kujaribu biashara ya mwenge..πŸ˜›πŸ˜›
 
 
Aede bungeni kupitia chama gani, kama ni ccm labda unataka awe kama Mpina. Kawaida ya ccm haitaki wenye akili za kiuchunguzi, ccm haina tofauti na madhebu ya dini wewe ukianza kuhoji mambo ya kanisa haufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…