Doubleclick
Senior Member
- Apr 26, 2024
- 144
- 85
NailedFanya utafiti, TLS ni Non Profit Organization haiendeshwi kwa faida. Pia , sio shirika la serikali ni Civil Society.
Nani kasema CCM haitaki watu makini,?Aede bungeni kupitia chama gani, kama ni ccm labda unataka awe kama Mpina. Kawaida ya ccm haitaki wenye akili za kiuchunguzi, ccm haina tofauti na madhebu ya dini wewe ukianza kuhoji mambo ya kanisa haufai.
hivi lissu sialikabidhiwa ramani ya gorofa nane ya jengo la makao makuu ya TLS lilishakamilika?Fanya utafiti, TLS ni Non Profit Organization haiendeshwi kwa faida. Pia , sio shirika la serikali ni Civil Society.
Swali yakinifuhivi lissu sialikabidhiwa ramani ya gorofa nane ya jengo la makao makuu ya TLS lilishakamilika?
Serikali inamiradi mingi chagua wewe nadhani ndio maana yakeYaani hapo ndiyo mnamsifia kama ana akili kweli? Huu ni upuuzi, hivi tuko karne ya 21 na bado tuna Serikali katika dunia hii. Isiyojua kipi kinaleta hasara na kipi kinaleta faida?
Kama wao walioko jikoni, wameshindwa kujua chakula chenye harufu nzuri na mbaya. Wewe mwananchi kutoka Sitimbi huko, unaanzaje hata kunusa tu?
Kama wote ni vilaza kiasi hicho, watafute mtaalamu, wampe data kamili. Atawaambia kipi kinawaletea hasara na faida. Vyenye hasara viwekwe hadharani, watu wachangamkie tenda hizo.
Kafulila anajua sana apewe nafasi zaidi===View attachment 3075737
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
Uko sahihiMr Tumbili anakitu Cha ziada
Msikilize vizuri utaelewa tuYaani hapo ndiyo mnamsifia kama ana akili kweli? Huu ni upuuzi, hivi tuko karne ya 21 na bado tuna Serikali katika dunia hii. Isiyojua kipi kinaleta hasara na kipi kinaleta faida?
Kama wao walioko jikoni, wameshindwa kujua chakula chenye harufu nzuri na mbaya. Wewe mwananchi kutoka Sitimbi huko, unaanzaje hata kunusa tu?
Kama wote ni vilaza kiasi hicho, watafute mtaalamu, wampe data kamili. Atawaambia kipi kinawaletea hasara na faida. Vyenye hasara viwekwe hadharani, watu wachangamkie tenda hizo.
Huyu sio Mtanzania===View attachment 3075737
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
Kafulila hana akili timamu?Kuanzia TTCL, ATCL, TRC, TANESCO, UDART ni hasara tupu.
Tuanzie hapo
Tanesco sio mradi wa hasaraKuanzia TTCL, ATCL, TRC, TANESCO, UDART ni hasara tupu.
Tuanzie hapo
Vipi kuhusu wewe?Kafulila hana akili timamu?
Hili ndio swali la msingi sasa,maana hawa jamaa(wanasiasa) kuongea tu kwao ni rahisi sana hta visivyowezekanaYupo serious?
Nadhani ujaribu ili tujue kama kweli ni Serious?Hili ndio swali la msingi sasa,maana hawa jamaa(wanasiasa) kuongea tu kwao ni rahisi sana hta visivyowezekana
Huyu muha anakitu atunzwe===View attachment 3075737
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.
Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.
Msikilize mpaka mwisho.
100% something has to be done to salvage what the government can, kuliko kuendelea kuachia weather (natural) elements kuuchukua na kupoteza hela za wachangiaji wa pension fund.Waanze na mradi wa DEGE ECO VILLAGE
Naomba nikabidhiwe TANESCO tafadhali===View attachment 3075737