Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

Aede bungeni kupitia chama gani, kama ni ccm labda unataka awe kama Mpina. Kawaida ya ccm haitaki wenye akili za kiuchunguzi, ccm haina tofauti na madhebu ya dini wewe ukianza kuhoji mambo ya kanisa haufai.
Nani kasema CCM haitaki watu makini,?
 
Yaani hapo ndiyo mnamsifia kama ana akili kweli? Huu ni upuuzi, hivi tuko karne ya 21 na bado tuna Serikali katika dunia hii. Isiyojua kipi kinaleta hasara na kipi kinaleta faida?

Kama wao walioko jikoni, wameshindwa kujua chakula chenye harufu nzuri na mbaya. Wewe mwananchi kutoka Sitimbi huko, unaanzaje hata kunusa tu?

Kama wote ni vilaza kiasi hicho, watafute mtaalamu, wampe data kamili. Atawaambia kipi kinawaletea hasara na faida. Vyenye hasara viwekwe hadharani, watu wachangamkie tenda hizo.
 
Fanya utafiti, TLS ni Non Profit Organization haiendeshwi kwa faida. Pia , sio shirika la serikali ni Civil Society.
hivi lissu sialikabidhiwa ramani ya gorofa nane ya jengo la makao makuu ya TLS lilishakamilika?
 
Yaani hapo ndiyo mnamsifia kama ana akili kweli? Huu ni upuuzi, hivi tuko karne ya 21 na bado tuna Serikali katika dunia hii. Isiyojua kipi kinaleta hasara na kipi kinaleta faida?

Kama wao walioko jikoni, wameshindwa kujua chakula chenye harufu nzuri na mbaya. Wewe mwananchi kutoka Sitimbi huko, unaanzaje hata kunusa tu?

Kama wote ni vilaza kiasi hicho, watafute mtaalamu, wampe data kamili. Atawaambia kipi kinawaletea hasara na faida. Vyenye hasara viwekwe hadharani, watu wachangamkie tenda hizo.
Serikali inamiradi mingi chagua wewe nadhani ndio maana yake
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
Kafulila anajua sana apewe nafasi zaidi
 
Yaani hapo ndiyo mnamsifia kama ana akili kweli? Huu ni upuuzi, hivi tuko karne ya 21 na bado tuna Serikali katika dunia hii. Isiyojua kipi kinaleta hasara na kipi kinaleta faida?

Kama wao walioko jikoni, wameshindwa kujua chakula chenye harufu nzuri na mbaya. Wewe mwananchi kutoka Sitimbi huko, unaanzaje hata kunusa tu?

Kama wote ni vilaza kiasi hicho, watafute mtaalamu, wampe data kamili. Atawaambia kipi kinawaletea hasara na faida. Vyenye hasara viwekwe hadharani, watu wachangamkie tenda hizo.
Msikilize vizuri utaelewa tu
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
Huyu sio Mtanzania
 
Huyu muha anakitu atunzwe
 
Hayo mambo anayoengelea Kafulila ili mtu kuomba kazi lazima apate financial statement.

Kwa kifupi anaropoka tu, investors hawaamki tu na kutaka venture bila ya kuelewa hesabu zake kwanza.

Financial statement sio number tu unazoona, kwa mwenye uelewa wa kuisoma inampa picha nzima ya biashara na uwezo wa management given the market size and competition.

Sasa kusema watu waandike proposals za kuchukua biashara kama hazina faida wakati hawajaona hesabu za biashara (ni kielelezo cha kiwango cha ujinga wa watu wenye nafasi serikalini).

Ujinga mtupu
 
===
Mkurugenzi Mkuu wa kituo Cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi ( PPP- Centred ) Bw David Kafulila ametoa wito kwa Sekta na watu binafsi wenye utafiti kwenye miradi yoyote ya Serikali kwenye ngazi yoyote ya Kiserikali na wamebaini Serikali inapoteza mapato na wao wako tayari kuisaidia Serikali kuepuka hasara na kupata faida kwaajili yao na kwa Serikali yao wanakaribishwa kwa majadiliano na PPP.

Kafulila ameyasema hayo katika kituo Cha runinga Cha Clouds Media wakati akifafanua maana halisi ya UBIA, WABIA na aina zake.

Msikilize mpaka mwisho.
View attachment 3075737
Naomba nikabidhiwe TANESCO tafadhali
 
Back
Top Bottom